Mafunzo ya uandishi wa vitabu bora vya watoto yamefunguliwa
Tarehe 13/06/2022 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt.Aneth Komba alifungua mafunzo ya siku nne ya uandishi wa vitabu bora vya usomaji kwa watoto, yanayofanyika jijini Dar es Salaam katika Hotel ya White sands.
Imewekwa:<span>15 </span>June,2022
Soma zaidi