Uthibiti Ubora
Uthibiti Ubora
TET hufanya tathmini ya maudhui ya vitabu vya ziada na maudhui ya kujifunzia yaliyoandaliwa kwa njia ya kieletroniki ili kuhakikisha kuwa maudhui hayo yamekidhi vigezo vya ubora unaohitajika na yameandaliwa kulingana na miongozo iliyowekwa kabla ya mchapisho hayo kupatiwa Ithibati kutoka kwa Kamishina wa Elimu ambaye ndiye mwenye jukumu la kutoa Ithibati kwa machapisho yaliyokidhi viwango vilivyokubalika vya ubora.