UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
Imewekwa: 06 February, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba kuhusu utekelezaji wa Mtaala uli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba kuhusu utekelezaji wa Mtaala ulioboreshwa ulioanza kutekelezwa Januari 2024, pindi alipotembelea banda la Taasisi hiyo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.