Muundo wa Taasisi
Muundo wa Taasisi
Taasisi ya Elimu Tanzania inaongozwa na Mkurugenzi Mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa taasisi. Kulinganan na muundo wa Taasisi wa mwaka 2023, chini ya ofisi ya Mkurugenzi Mkuu ipo ofisi moja (1) ya Naibu Mkurugenzi Mkuu – Taaluma, Tafiti na Ushauri elekezi, Idara tano (5) na Vitengo 12.