Uuzaji wa Vitabu
Uuzaji wa Vitabu
TET hutoa huduma ya kuuza vitabu vya kiada, mitaala, mihtasari ya masomo na machapisho mengine ya kielimu katika ofisi zake za makao makuu zilizoko Mwenge Dar es Salaam na katika vituo vya mauzo vilivyoko Kariakoo - Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tabora na Moshi. Kwa maelezo zaidi kuhusu mahali vilipo vituo vya mauzo ya machapisho ya TET wasiliana na Isack Mwakibete (baruapepe: isack.mwakibete at tie.go.tz, Namba ya Simu +255754525232).