Huduma ya Kumbi za Mikutano
Huduma ya Kumbi za Mikutano
TET inatoa huduma ya kumbi za mikutano ambazo zinazokodishwa kwa ajili ya kuendesha semina, washa au mikutano. Kumbi hizo zinapatikana katika ofisi za TET makao makuu zilipo Mwenge, barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma ya kumbi za mikutano wasiliana na: Mr. Kalistus Chonya (kalitus.chonya@tie.go.tz, 0785-498-858 / 0713-544-932), au Mr. Nsangalufu Joseph Mwaisengela ( 07148888996, nsangalufu.mwaisengela@tie.go.tz).