Dhima na Dira
Dhima na Dira
Dhima: Kuwezesha mchakato wa utoaji wa elimu iliyo bora kupitia Mitaala bora ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Ualimu.
Dira: Kuwa kitovu cha ubora katika ukuzaji na utekelezaji wa Mitaala chini ya uendeshaji wa wafanyakazi wenye ari na uwezo wa hali ya juu katika fani zao.