TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU YAZINDULIWA RASMI
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof.Adolf Mkenda(Mb) leo tarehe 12/09/2022 amezindua tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu yenye lengo la kukuza sekta ya uandishi, uchapishaji na usambazaji wa vitabu nchini. Aidha, tuzo hiyo inalenga kukuza ari ya usomaji nchini
Imewekwa:<span>21 </span>September,2022
Soma zaidi