Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Ofisi za Taasisi ya Elimu Tanzania zinapatikana katika eneo la Mikocheni karibu na Petrol Station ya Bamaga
Fika kwenye maduka yetu, kisha orodhesha vitabu unavyohitaji kwa muudumu wetu na atakuprintia nakala ya control number na kwende kulipia
Ndio unaweza kununua kitabu cha mwanafunzi pamoja na kiongozi chake cha mwalimu
Fungua kivinjari (browser) chako na andika anwani hii: ol.tie.go.tz.
Baada ya ukurasa kufunguka, chagua chaguo la "Continue with Google".
Weka akaunti yako ya Gmail (jina la mtumiaji na nywila).
Baada ya kuingiza taarifa zako za Gmail, chagua tena "Continue with Google"....