Tangazo la mnada wa hadhara wa mali chakavu
Imewekwa: 18th August, 2024
Aina ya Magari, Pikipiki na Vifaa vingine vitakavyouzwa na mahali vilipo
ni kama ifuatavyo:
Na.
|
Kituo/Mkoa
|
Aina ya Gari/Pikipiki/Kifaa
|
Tarehe ya Mnada
|
1.
|
TET Makao Makuu (DSM)
|
• SU 36648 NISSAN PATROL
• SU 38719
FQRD EVEREST
• SU 37596 Bajaj
(Miguu Mitatu)
• SU 37595 Bajaj
(Miguu Mitatu)
• Samani za Ofisi
• Vifaa vya TEHAMA
• Vifaa Vingine
|
24.08.2024
|
2.
|
TET (Press A na Press B)
|
•
Mashine za kupiga Chapa na Mitambo mbalimbali
• Vifaa Vingine
|
24.08.2024
|
3.
|
TET Morogoro (Viwanja vya S/M Msamvu)
|
•
Mashine za kupiga Chapa na Mitambo mbalimbali
• Samani za Ofisi
• Vifaa vya TEHAMA
• Vifaa Vingine
|
26.08.2024
|
4.
|
Elimu ni Bahari - Tabora
|
•
STG 3730 SUZUKI 125 - MOTOR- CYCLE .
•
Samani za Ofisi
• . Vifaa vya TEHAMA
•
Vifaa Vingine
|
28.08.2024
|
5.
|
Kisomo - Mwanza (Ndani ya Ofisi
za Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza)
|
• STJ 7956 SUZUKI SAMURAI JX
• Samani za Ofisi
• Vifaa vya TEHAMA
• Vifaa Vingine
|
30.08.2024
|
Masharti
ya Mnada ni kama ifuatavyo:
i.
Magari, Pikipiki na Vifaa vingine chakavu vitauzwa kama vilivyo na mahali vilipo.
ii.
Mnunuzi atakuwa ni yule atakayetamka bei ya
juu kuliko wote kabla ya
nyundo kupigwa.
iii. Vifaa chakavu vitauzwa kwa fedha taslimu na
malipo kufanyika kwa asilimia 100 papo hapo kupitia Namba ya Malipo (Control
Number) itakayotolewa na Taasisi. Aidha mteja atatakiwa kuondoa vifaa
alivyonunua siku hiyo hiyo ya mnada.
iv. Mnunuzi wa Gari,
Pikipiki na Mitarnbo atatakiwa kulipia papo hapo amana ya asilimia 25 ya bei aliyotaja, na asilimia inayobaki
itatakiwa kulipwa ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya mnada. Mnunuzi akishindwa
kutimiza sharti hilo atakosa haki zote za ununuzi
na amana iliyolipwa haitarudishwa. Aidha mali
itauzwa upya.
v. Mnunuzi wa Gari,
Pikipiki na Mitambo atatakiwa kuondoa/kuchukua mali aliyonunua katika muda wa siku saba (7) kuanzia siku
ya kukamilisha malipo.
vi. Ruhusa ya kuangalia
vifaa hivyo 'itatolewa siku mbili (2) kabla ya mnada kwa kila Kituo
kuanzia saa 4.00 asubuh1 hadi
saa 9.30
jioni.
vii. Mnada utafanyika
kuanzia saa
4.00 asubuhi kwa kila Kituo kama inavyoonekana katika jeduali hapo juu.
Imetolewa na:
MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA ELIMU TANZANIA
Pakua nakala ya tangazo hapa:
tangazo la mnada scanned