Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Elimu Tanzania

Specific Guidance for Business Studies Teaching Skills Competition

20 December, 2025 Pakua
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inawaalika na kuwahamasisha walimu wanaofundisha Darasa la Awali, na Darasa la kwanza kwa Shule za Msingi, na Kidato cha kwanza kwa shule za Sekondari za Serikali zilizopo katika halmashauri zote Tanzania Bara kushiriki
katika shindano la stadi za ufundishaji la nne kwa walimu wanaofundisha Darasa la awali na msingi na la pili kwa walimu wa wanaofundisha kidato cha kwanza kwa shule za sekondari katika masomo ya Physics, Mathematics, Computer Science, na Business studies, na umahiri wa Kumudu stadi za awali za kusoma na Demonstrate mastery of basic English language skills.
Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania