SHINDANO LA NNE LA STADI ZA UFUNDISHAJI KWA WALIMU WANAOFUNDISHA SHULE ZA AWALI NA MSINGI, NA LA PILI KWA WALIMU WANAOFUNDISHA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA BARA
SHINDANO LA NNE LA STADI ZA UFUNDISHAJI KWA WALIMU WANAOFUNDISHA SHULE ZA AWALI NA MSINGI, NA LA PILI KWA WALIMU WANAOFUNDISHA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA BARA
08 December, 2025
Pakua
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inawaalika na kuwahamasisha walimu wanaofundisha madarasa ya Awali, na Darasa la kwanza kwa Shule za Msingi, na Kidato cha kwanza kwa shule za Sekondari za Serikali zilizopo katika halmashauri zote Tanzania Bara kushiriki katika shindano la stadi za ufundishaji la nne kwa walimu wanaofundisha madarasa ya awali na msingi na la pili kwa walimu wa wanaofundisha shule za sekondari katika masomo ya Physics, Mathematics, Computer Science, na Business studies, na umahiri wa Kumudu stadi za awali za kusoma na Demonstrate mastery of basic English language skills.