Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Elimu Tanzania

Nawezaje kuingia kwenye maktaba mtandao?

Fungua kivinjari (browser) chako na andika anwani hii: ol.tie.go.tz. Baada ya ukurasa kufunguka, chagua chaguo la "Continue with Google". Weka akaunti yako ya Gmail (jina la mtumiaji na nywila). Baada ya kuingiza taarifa zako za Gmail, chagua tena "Continue with Google". Utapelekwa kwenye ukurasa mkuu wa maktaba mtandao ambapo unaweza kuanza kutumia huduma za maktaba na kusoma vitabu mtandaoni.
Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania