Uuzaji na Usambazaji wa Vitabu
Uuzaji na Usambazaji wa Vitabu
Imewekwa: 03 August, 2024
TET hutoa huduma ya kuuza vitabu na machapisho mbalimbali ya kielimu katika ofisi zake za makao makuu zilizoko Mwenge Dar es Salaam na katika vituo vya mauzo vilivyoko Kariakoo - Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Moshi. Kwa maelezo zaidi kuhusu mahali vilipo vituo hivyo vya mauzo ya machapisho ya TET wasiliana TET HQ DUKANI (namba ya simu: +255 794 700 115).