ORODHA YA WALIOPENDEKEZWA KUWANIA TUZO YA TAIFA YA MWL. NYERERE YA UANDISHI BUNIFU
ORODHA YA WALIOPENDEKEZWA KUWANIA TUZO YA TAIFA YA MWL. NYERERE YA UANDISHI BUNIFU
07 April, 2025
Pakua
Orodha ya washiriki waliopendekezwa kuwania tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya uandishi bunifu inayotarajiwa kufanyika Aprili 13, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es salaam.