Jinsi ya kununua vitabu vya TET
Jinsi ya kununua vitabu vya TET
Imewekwa: 03 August, 2024
Unanunua vitabu vya TET kwa kufika kaitka moja ya maduka yetu ambayo yapo Dar es salaam, Morogoro na Dodoma na kutoa orodha ya vitabu na utapatiwa Control Number ya kufanya malipo na hapo ndipo utapewa vitabu vyako.