UZINDUZI WA KITABU
UZINDUZI WA KITABU
07 December, 2024 - 25 February, 2024
12:30:00 - 17:30:00
Taasisi ya Elimu
rayson.mwaisemba@tie.go.tz
Taasisi ya Elimu Tanzania inatarajia kuzindua Kitabu cha kiada kitachohusika kutoa mafunzo kwa wanafunzi wa elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza
