Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Elimu Tanzania

UKUSANYAJI WA MISWADA

16 August, 2024 - 29 August, 2024
18:00:00 - 20:00:00
Taasisi ya Elimu
rayson.mwaisemba@tie.go.tz
Taasisi ya Elimu Tanzania imefungua rasmi zoezi la ukusanyaji wa miswada kwaajili ya tuzo ya uandishi bunifu ya Mwl. Nyerere
UKUSANYAJI WA MISWADA
Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania