Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Elimu Tanzania

Maadhimisho ya Miaka 50 ya TET

07 March, 2025
06:00:00 - 11:00:00
TIE HQ
director.general@tie.go.tz

Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania, Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja, Tembea na Waziri Mkuu Mhe. Kassim M. Majaliwa kwa kuchangia 50,000 au 150,000 kupitia Control Na. 994040118259 uwe sehemu ya maboresho ya  Elimu nchini.

Kwa mawasiliano zaidi piga kwa namba hii 0758460508

Maadhimisho ya Miaka 50 ya TET
Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania