TANGAZO LA NAFASI ZA UANDAAJI WA MAUDHUI YA KIDIGITI KWA WALIMU WA SEKONDARI
TANGAZO LA NAFASI ZA UANDAAJI WA MAUDHUI YA KIDIGITI KWA WALIMU WA SEKONDARI
23 October, 2025
Pakua
TET kwa kushirikiana na Aspire inawaalika Walimu wa shule za Sekondari wa masomo ya Kiingereza, Hisabati, Biolojia, Kemia, Fizikia na Elimu ya Biashara kwenye utengenezaji wa maudhui ya Kidigiti.