SHINDANO LA STADI ZA UFUNDISHAJI 2026
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inawaalika na kuwahamasisha walimu wanaofundisha Darasa la Awali, Darasa la Kwanza na Darasa la Tano kwa Shule za Msingi, na Kidato cha Pili kwa shule za Sekondari za Serikali zilizopo katika halmashauri zote Tanzania Bara kushiriki katika shindano la stadi za ufundishaji la tano kwa walimu wanaofundisha darasa la awali na msingi na la tatu kwa walimu wa wanaofundisha Kidato cha Pili kwa shule za sekondari. Shindano hili litahusisha maeneo mbalimbali ya kushindania yaliyobainishwa na TET ili kuchochea ubunifu na matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji.Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inawaalika na kuwahamasisha walimu wanaofundisha Darasa la Awali, Darasa la Kwanza na Darasa la Tano kwa Shule za Msingi, na Kidato cha Pili kwa shule za Sekondari za Serikali zilizopo katika halmashauri zote Tanzania Bara kushiriki katika shindano la stadi za ufundishaji la tano kwa walimu wanaofundisha darasa la awali na msingi na la tatu kwa walimu wa wanaofundisha Kidato cha Pili kwa shule za sekondari. Shindano hili litahusisha maeneo mbalimbali ya kushindania yaliyobainishwa na TET ili kuchochea ubunifu na matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji.