Wanafunzi wasioona nchini wakombolewa ujifunzaji
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) kwa kushirikiana na Sense International Tanzania, imezindua rasmi kifaa ambacho kitasaidia wanafunzi wasioona katika mchakato mzima wa ujifunzaji.
Imewekwa:<span>13 </span>August,2021
Soma zaidi