TET yagawa vitabu wilaya ya Muleba
Taasisi ya Elimu Tanzania imekabidhi jumla ya vitabu 173,990 kwa ajili ya shule za Msingi na vitabu 2,714 kwa ajili ya shule za Sekondari, katika wilaya ya Muleba mkoani Kagera, ambapo Mkuu wa wilaya ya Muleba Mh.Toba Nguvila amesema vitabu hivyo itasaidia kuondoa upungufu wa vitabu kwa wanafunzi.
Imewekwa:<span>04 </span>October,2021
Soma zaidi