WIZARA YAJADILI RASIMU YA MABORESHO YA MITAALA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mnamo, Juni 2, 2022 imejadili rasimu ya maboresho ya mitaala iliyotokana na maoni ya wadau mbalimbali juu ya uboreshaji wa mitaala ya elimu nchini ikiwa ni maandalizi ya Kongamano la Elimu la siku tatu la kukusanya maoni ya wadau.
Imewekwa:<span>06 </span>June,2022
Soma zaidi