Uzinduzi wa Maktaba Mtandao ya TET
Imewekwa: 26th March, 2019
HADHIRA:Mh. Prof. Joyce L. Ndalichako - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wageni waalikiwa toka WyEST, TAMISEMI, Mkuu wa mkoa wa Dar, wajumbe wa bodi ya TET, Maafisa Elimu wa mikoa na wilaya, walimu na wanafunzi toka shule za serikali na shule binafsi, wamiliki wa shule na wadau kutoka TCRA, eGA, NECTA
KUHUSU TUKIO
Taasisi ya Elimu Tanzania inatarajia kuzindua maktaba mtandao itakayotumika kuwasaidia walimu na wanafunzi wa shule za awali msingi na sekondari za serikali na binafsi nchini kupata vitabu vya kiada vya kujifunzia na kufundishia. Machapisho ya kieletroniki yaliyowekwa katika maktaba hiyo yatapatikana kupitia Kompyuta na simu janja za kiganjani.
Mahali: Ofisi za TET Mwenge
Muda: Saa 3 Asubuhi
KARIBUNI SANA