Sat,April 21, 2018
  • Decrease font size
  • Default font size
  • Increase font size

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Books Price List
PDF Print

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imepewa jukumu la kuandaa vitabu vya kiada kupitia Waraka wa Elimu Na. 4 wa Mwaka 2014. Katika kutekeleza jukumu hilo, TET imeweza kutayarisha vitabu vya Kiada kuanzia Ngazi ya Elimu ya Awali hadi Sekondari Kidato cha Sita. Kuona orodha ya vitabu hivyo bonyeza hapa: Katalogi ya Vitabu vya Kiada Vinavyoandaliwa na TET.

Gharama za vitabu hivyo zimeainishwa kwenye Jalada la kila kitabu. Kwa hiyo, TET inawakaribisha wadau wote wa Elimu wakiwemo Wazazi kutumia Katalogi hii ili kupata vitabu vya Kiada vinavyotumika kutekeleza Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari.

 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na :

Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu,

Taasisi ya Elimu Tanzania,

S. L. P. 35094,

Dar es Salaam. 

Simu:  +255 22 2773005

Fax: +255 22 2774420

Email: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 Ukitaka kuagiza/Kununua Vitabu hivyo au machapisho mengine ya TET (miongozo na moduli) wasiliana na:
Kaimu Afisa Mkuu wa Ugavi na Manunuzi,
Taasisi ya Elimu Tanzania, 
S. L. P.  35094,
DAR ES SALAAM.
Simu:  +255 784 499100,  +255 763 097467
Email: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it ,      vedadstus.makweba at tie.go.tz 

 

Last Updated on Monday, 12 June 2017 14:29
 

News and Events

0

TET inapenda kuutarifu umma kuwa Kuanzia tarehe 1/2/2018 haitapokea fedha taslimu za malipo ya huduma inazotoa. Malipo yote yalipwe kupitia benki.

soma zaidi


0

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inapenda kuutahadharisha umma kuhusu kuwepo ukiukwaji wa matumizi ya Mihtasari ya Elimu inayoandaliwa na TET.

Soma zaidiVisitors Counter

492429
Today91
This Week1840
This Month6287

Who is Online

We have 12 guests online


Go up