Tue,September 18, 2018
  • Decrease font size
  • Default font size
  • Increase font size

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

PDF Print E-mail

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imeandaa maudhui ya kieletroniki ambayo yamekusudiwa kukuza stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa wanafunzi wa Elimumsingi nchini. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alikuwa mgeni rasmi katika tukio la uzinduzi wa maudhui hayo lililofanyika tarehe 18/08/2018 katika ofisi za TET zilizopo Mwenge, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa elimu nchini.

Maudhui hayo yanatarajia kupatikana kupitia vipindi maalum vitakavyokuwa vinarushwa katika kituo cha runinga cha TBC.  Kwa sasa DVD ya maudhui hayo inapatikana katika ofisi za TET ikiwa na masomo kumi na tisa (Kusalimiana kwa Adabu, Kusalimiana, Kujieleza na Kujitambulisha, Kusoma herufi 'a', Kusoma herufi 'e', Kusoma herufi 'i', Kusoma herufi 'o', Kusoma herufi 'u', Kujua Vitu Vingi na Vichache, Kuhesabu 1-9, Kuhesabu Vitu,  Kuandika herufi 'a', Kuandika herufi 'e', Kuandika herufi 'i', Kuandika herufi 'o', Kuandika herufi 'u', Kuchora, Kuandika 1-9, Kutambua namba 0 ).  

 

MAUDHUI YA STADI ZA KUHESABU 

1. Kujua Vingi na Vichache

 

MAUDHUI YA STADI ZA KUSOMA

2. Kusoma Herufi 'a'

 

3. Kusalimiana kwa Adabu

 


Last Updated on Tuesday, 04 September 2018 08:05
 

News and Events

0

TET inapenda kuutarifu umma kuwa Kuanzia tarehe 1/2/2018 haitapokea fedha taslimu za malipo ya huduma inazotoa. Malipo yote yalipwe kupitia benki.

soma zaidi


0

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inapenda kuutahadharisha umma kuhusu kuwepo ukiukwaji wa matumizi ya Mihtasari ya Elimu inayoandaliwa na TET.

Soma zaidi


0

TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTARATIBU WA MALIPO KWA HUDUMA ZA TET

Soma zaidi


0

PRE-QUALIFICATION FOR PRINTING AND SUPPLY OF VARIOUS TEXTBOOKS.

Read moreVisitors Counter

541762
Today286
This Week927
This Month6256

Who is Online

We have 9 guests online


Go up