Mon,October 15, 2018
  • Decrease font size
  • Default font size
  • Increase font size

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

PDF Print

MAFUNZO YA WALIMU KAZINI NGAZI YA SHULE

Katika kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji darasani, Taasisi ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na EQUIP-Tanzania, wameandaa moduli ambazo zimesheheni kazi mbalimbali ambazo zinafaa kutumiwa katika Mafunzo ya Walimu Kazini ngazi ya shule. Mbinu hii inatambua umuhimu wa walimu kujifunza pamoja na kubaini changamoto zinazowakabili ili kupata suluhisho la changamoto za ufundishaji na ujifunzaji kwa pamoja.

 

MODULI ZA UMAHIRI WA MWALIMU KATIKA KUFUNDISHA KUHESABU

pdf imageModuli ya Mwalimu -Shughuli za Ujifunzaji Kujenga Dhana ya Namba

pdf imageModuli ya Mwalimu-Zana za Kufundishia Kuhesabu na Matendo katika Namba

pdf imageModuli ya Mwalimu-Uchunguzi wa Muhtasari Ulioboreshwa Darasa la I & II

pdf imageModuli ya Mwongozo -Shughuli za Ujifunzaji Kujenga Dhana ya Namba

pdf imageModuli ya Mwongozo-Uchunguzi wa Muhtasari Ulioboreshwa Darasa la I & II

pdf imageModuli ya Mwongozo-Zana za Kufundishia Kuhesabu na Matendo Katika Namba

pdf imageModuli ya Mwalimu-Zana za Kufundishia Kujenga Dhana ya Namba

 

MODULI ZA UMAHIRI WA MWALIMU KATIKA KUFUNDISHA KUSOMA

pdf imageModuli ya Mwalimu -Foniki

pdf imageModuli ya Mwalimu-Kusoma Kitabu kwa Sauti

pdf imageModuli ya Mwalimu-Kusoma kwa Ufahamu

pdf imageModuli ya Mwalimu -Kusoma kwa Ufasaha

pdf imageModuli ya Mwalimu-Kutenganisha na Kuunganisha Fonimu

pdf imageModuli ya Mwalimu-Misingi ya Kuandika

pdf imageModuli ya Mwalimu-Msamiati

pdf imageModuli ya Mwalimu -Sauti ya Herufi, Jina la Herufi na Silabi

pdf imageModuli ya Mwalimu-Utambuzi wa Sauti

pdf imageModuli ya Mwalimu-Utaratibu wa Kuandaa Mazingira ya Machapisho

pdf imageModuli ya Mwongozo -Foniki

pdf imageModuli ya Mwongozo-Kusoma Kitabu kwa Sauti

pdf imageModuli ya Mwongozo-Kusoma kwa Ufahamu

pdf imageModuli ya Mwongozo -Kusoma kwa Ufasaha

pdf imageModuli ya Mwongozo-Kutenganisha na Kuunganisha Fonimu

pdf imageModuli ya Mwongozo-Misingi ya Kuandika

pdf imageModuli ya Mwongozo-Msamiati

pdf imageModuli ya Mwongozo -Sauti ya Herufi, Jina la Herufi na Silabi

pdf imageModuli ya Mwongozo-Utambuzi wa Sauti

pdf imageModuli ya Mwongozo-Utaratibu wa Kuandaa Mazingira ya Machapisho

 

MODULI ZA UMAHIRI WA MWALIMU KATIKA KUFUNDISHA KUNAKOZINGATIA JINSIA

pdf imageModuli ya Mwalimu -Kufundisha kunakozingatia Jinsia

pdf imageModuli ya Mwongozo -Kufundisha Kunakozingatia JinsiaLast Updated on Friday, 19 May 2017 16:07
 

News and Events

0

TET inapenda kuutarifu umma kuwa Kuanzia tarehe 1/2/2018 haitapokea fedha taslimu za malipo ya huduma inazotoa. Malipo yote yalipwe kupitia benki.

soma zaidi


0

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inapenda kuutahadharisha umma kuhusu kuwepo ukiukwaji wa matumizi ya Mihtasari ya Elimu inayoandaliwa na TET.

Soma zaidi


0

TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTARATIBU WA MALIPO KWA HUDUMA ZA TET

Soma zaidi


0

PRE-QUALIFICATION FOR PRINTING AND SUPPLY OF VARIOUS TEXTBOOKS.

Read moreVisitors Counter

551824
Today392
This Week715
This Month5699

Who is Online

We have 461 guests online


Go up