Sat,March 25, 2017
  • Decrease font size
  • Default font size
  • Increase font size

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Captions should be here ...

Maboresho na Mabadiliko ya Mitaala 1961 hadi 2010 PDF Print E-mail

Taasisi ya Elimu Tanzania ni moja kati ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikiwa na dhamana kuu ya kubuni na kuandaa mitaala ya elimu katika mfumo rasmi. Mfumo huu rasmi unahusisha shule za elimu ya awali, elimu ya msingi, elimu ya sekondari na mafunzo ya ualimu. Kazi nyingine za taasisi kama zilivyoainishwa katika sheria iliyounda taasisi ni pamoja na kubuni na kuandaa vifaa vya kufundishia, kutoa mafunzo kwa walimu na wadau wengine na vile vile kufanya tafiti mbalimbali za kielimu.

Kwa muda mrefu kumekuwa na mijadala na malumbano kuhusu mitaala ya elimu nchini Tanzania. Kuna mtazamo kuwa mitaala itolewayo imekuwa inabadilishwa mara kwa mara na hivyo kwa kiasi kikubwa kuonekana kama sababu ya kushusha  kiwango cha elimu nchini. Aidha wapo wanaoamini kuwa mabadiliko yanayofanywa yamekuwa yakitekelezwa bila kuwa na tafiti zinazoonesha umuhimu wa kufanyika mabadiliko hayo.

Katika jitihada za kuweka kumbukumbu kwa usahihi, Taasisi ya Elimu Tanzania imeandaa makala yenye maelezo kuhusu Mabadiliko na Maboresho ya Mitaala yaliyofanyika toka mwaka 1961 hadi mwaka 2010 pamoja na sababu zake. 

Soma maelezo zaidi

Last Updated on Tuesday, 23 July 2013 17:28
 

News and Events

0

Tanzania Institute of Education (TIE) invites tender application for "Printing and Supplying Primary School Text Books" to be made on or before 10th March 2017.

Read more


0

Tanzania Institute of Education (TIE) invites tender application for "Printing and Supplying Secondary School Text Books" to be made on or before 22nd March 2017.

Read MoreVisitors Counter

368459
Today120
This Week1665
This Month7682

Who is Online

We have 48 guests online


Go up